Maparo wengi hawajuangi what to do wakiwa na watoi ama wakiwa na ball lakinithrough hizi videos,tutawaelezea vitu unafaa na vitu haufai kufanya.
Hapa tutawafunza kufanya vitu basic za watoi kama:kufunga diaper,kuosha mtoi natips zingine kibao.
Ukidecide kua paro,financial responsibilities zinaongezeka.So unafaaujue njia za kusave na za kuinvest
Ukiwa na swali kuhusu pregnancy ama mtoi ni poaukiconsult doki ndo akuadvice on what to do.
KID´S STORIES